no credit card required  No credit card. No commitment.
 5000 plus G2 reviews  5000+ G2 reviews
Company logo

Watu Shule

Watu Shule


Watu Shule's financial review

Employees

4


Watu Shule information

Sisi ni timu ya watu wanaomini msemo wa "Elimu haikuanzia darasani, mama alianza kufundisha. Elimu haishii darasani, mtaa unaendelea kufundisha."- Rogers Katuma Watu wengi wamekosa fursa ya kuendelea kielimu kupitia mfumo wa kawaida wa elimu, kwenda shule, kufaulu na kupata cheti. Na watu wengi zaidi wanakosa fursa ya kujiendeleza kielimu baada ya sehemu waliyoishia shuleni kutokana na gharama, ma...
Sisi ni timu ya watu wanaomini msemo wa "Elimu haikuanzia darasani, mama alianza kufundisha. Elimu haishii darasani, mtaa unaendelea kufundisha."- Rogers Katuma Watu wengi wamekosa fursa ya kuendelea kielimu kupitia mfumo wa kawaida wa elimu, kwenda shule, kufaulu na kupata cheti. Na watu wengi zaidi wanakosa fursa ya kujiendeleza kielimu baada ya sehemu waliyoishia shuleni kutokana na gharama, majukumu, muda na mfumo. Kiuhalisia mtaani kuna elimu, ujuzi na uwezo tofauti unaohitajika ili ufanikiwe hata kama hamna anayetoa cheti. Njia bora zaidi ya kujifunza ni kupitia ujuzi, elimu na uzoefu ambao umefanya kazi mtaani na kufikisha malengo ya watu. Na watu bora zaidi wa kufundisha ni wale ambao ujuzi, elimu na uzoefu wao mtaani umewafanya wafanikiwe. Sisi ni timu ya watu tunaotengeneza mazingira ya watu wenye ujuzi, elimu na uzoefu waliofanikiwa mtaani na kuifikisha kwa watu walioukuwa darasani na waliotoka darasani wakiwa kwenye safari yao ya mafanikio mtaani. Ndoto yetu ni kuhakikisha kila mwenye macho, masikio na simu apate ujuzi, elimu na uzoefu inayohitajika kufanikiwa mtaani. "Elimu haikuanzia darasani, mama alianza kufundisha. Elimu haishii darasani, mtaa unaendelea kufundisha."- Rogers Katuma

Watu Shule industries

Teknolojia
Waajiriwa
Kujiendeleza
Elearning

Watu Shule's financial review

Employees

4

Technologies

Analytics and Tracking
Load Balancers

Employees

Prospect on LinkedIn

Find verified emails and direct dial mobile numbers of contacts on LinkedIn, and sync them with your CRM instantly
Download ExtensionRepresents linkedin prospector
Browse Apollo's Directories

Why our clients choose Apollo

“Apollo completely changed the game for us. It allowed us to identify relevant targets that are ready to scale and reach out to them at the exact right time.”
Image of Erik Straub

Erik Straub

Head of Product, Kickfurther

“Using Apollo.io, we've solved the biggest problem for every business, the lead problem. We are now constrained by sales time and no longer lack interested prospects.”
Image of Michael Transon

Michael Transon

CEO, Victorious

Apollo gives you all the company insights you need

Free to get started, easy to add your whole sales team, commit to monthly or annual plans. We make it easy to get started.